bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Wakuu mwenye kujua hii gari inapatikana wapi anicheki 0713064992.
Waje fastaNgoja vishoka waje
Akikujibu nitagUna sh ngapi? Tunaweza kuwa tunasumnuana kumbe una hela ya Noah. Kwa gari hii bila 50M, Sahau.
Inategemea na condition yake mkuuUna sh ngapi? Tunaweza kuwa tunasumbuana kumbe una hela ya Noah. Kwa gari hii bila 50M, Sahau.