Natafuta Tanzanite Bracelet (Bracelet za stone ya Tanzanite katikati)

iamriq_arthur

JF-Expert Member
May 1, 2021
377
884
Kuna Bracelet moja flani zipo na kipisi cha Tanzanite stone katikati, Bracelet hyo inakuwa ni kubwa,

Picha yake hizi hapo chini.
IMG_8131.jpg

IMG_8130.jpg

Kwa mkoa wa Mwanza zinapatikana Au zinauzwa sehemu gani jaman, nina shida nazo sana yani, please kwa yeyote anaejua zinapouzwa anielekeze namba yangu ya simu ni hapo chini

Namba: 0694250619
 
Back
Top Bottom