aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,739 May 15, 2013 #1 Kama kuna mtu anauza tablet chini ya laki 2 inaingia lain aniinbox
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 May 15, 2013 #2 aka2030 said: Kama kuna mtu anauza tablet chini ya laki 2 inaingia lain aniinbox Click to expand... Ongeza 50 kwa 200 nkutafutie yenye kuingiza line na Mpya
aka2030 said: Kama kuna mtu anauza tablet chini ya laki 2 inaingia lain aniinbox Click to expand... Ongeza 50 kwa 200 nkutafutie yenye kuingiza line na Mpya
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,739 May 16, 2013 Thread starter #3 njunwa wamavoko said: Ongeza 50 kwa 200 nkutafutie yenye kuingiza line na Mpya Click to expand... Mkuu ka uwezo kangu kadogo wee nitazamie tu hata kama ni used mradi inaingia tu laini
njunwa wamavoko said: Ongeza 50 kwa 200 nkutafutie yenye kuingiza line na Mpya Click to expand... Mkuu ka uwezo kangu kadogo wee nitazamie tu hata kama ni used mradi inaingia tu laini
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 May 16, 2013 #4 aka2030 said: Kama kuna mtu anauza tablet chini ya laki 2 inaingia lain aniinbox Click to expand... Ni aina gani iyo tablet naweza pata na mie?
aka2030 said: Kama kuna mtu anauza tablet chini ya laki 2 inaingia lain aniinbox Click to expand... Ni aina gani iyo tablet naweza pata na mie?