Jaman mwenye tablet anayeuza iwe inaingia laini kwa laki 2 aje inbox
Unataka original au Xi jiping?:A S 20:
kwa hiyo bei nafikiri anataka Xi jiping
Kweli?
Sijaliona Mkuu,
Labda kama limeandikwa nyuma ya hiyo Tablet
Duh! Bado tu?, nimekukamata vibaya leo.
Mkuu Shark gonga hapo kwenye link iliyotolewaOk,
Lipo juu, chini, kulia au kushoto?
Hapo kwenye blue
Jaman mwenye tablet anayeuza iwe inaingia laini kwa laki 2 aje inbox
Ninayo 10.1 laki 5
Mkuu Shark gonga hapo kwenye link iliyotolewa
Hapo kwenye blue
mi ninayo kwa mwenye kuhitaji top top laki nne unusu
umeshapata?Jaman mwenye tablet anayeuza iwe inaingia laini kwa laki 2 aje inbox