NATAFUTA SUZUKI CARRY OFFER 5MIL.
iwe katika hali nzuri,ukaguzi wa kitaalamu utafanyika.
manual,
isiwe imetembea zaidi ya 70,000km.
namba yangu ni: 0769055577/0715055577
Hapo kwenye Nyekundu sio kweli Ushuru wa hizi gari hazikuorodheshwa TRA kwahiyo wanapiga na CIF Invoice kwahiyo suhru wake Hauzidi 1.4 Milioni kwahiyo ni Rahisi sana kaka ulizia kwanza kama formula huna nikutumie kaka