Mimi hiyo ndio kazi yangu ila kwa sasa vifaa vipo nyumbani Yombo vituka, kama utahitaji nachukua kazi nafanya then nakuleteaWakuu mambo vipi,
Naomba msaada kwa yoyote anaefahamu stationary nzuri ambayo kuna wataalam ambao wanaweza kunisaidia mambo ya typing.