Natafuta SPSS software

Natafuta SPSS software

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Kwa mwenye softcopy ya SPSS statistics program anisaidie.

Asante sana.
 
Kama unajua kutumia torrents, downlaod tena crack version mambo ya license hayatakusumbua wala nini. NB: kama hujui kutumi, ingia google search torrent downloder, kisha install kwenye PC yako. The, fungua browser yako type hii site: www.torrentz.eu, kwenye search andika IBM or SPSS then gonga search zitakuja kibao then select moja. Endelea
 
Nimeshadownload lakini kila nikienda kweny hii site www.torrentz.eu, wanataka niwe member nifanyeje.
 
Asante sana Kingmairo nimefanikiwa ku download.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom