Baada ya kukosa udhamini wa serikali natafuta private sponsorship ili niweze kujiunga na chuo mapema mwezi ujao. Kuna mwenye uelewa wa namna na kutafuta sponsors? Naombeni mnisaidie!