Natafuta sperm donor

Asante mkuu ila kila mtu na maisha yake
maisha uliyo yachagua ndio yanayo kutesa dada! hebu try plan B. ishi kama unavyo takiwa kuishi yaani wife material,,uone kama watu hawajagombania kuleta posa hapo! sasa wewe unaishi kama kindege, unafikiri utapata Mume! ladba wa kichina!
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Mi nauza , kama upo serious ni pm tuongee biashara
 
Ungesema na range ya umri wa huyo sperm
Ningehitaji msaada ningesema mkuu

Kuna mahali umeulizwa kama una age limit ya donor nadhani hujajibu. Au donor amekwishapatikana?
Kama tayari hongera sana
 
Niko tayari aslimia mia
 
Umenivutia sana kwa huo ujasiri
 
Tatzo la kuchanganya kiswahili na kiingereza

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Contribute, Donate..: kiswahili ni kuchangia tu: ila kwa maana ya mhitaji kuna watu wamependekeza njia ya kuweka kwenye mfuko, then atajimiminia mwenyewe kwa kadri ya mahitaji yake. Ili kujiepusha kuchangia nje na kuambulia mengine, tikisa kabla ya kutumia.

Usile Mbegu.
 
npo serious ila jambo moja ntakua na control kwa mwanang
 
Hivi nikifungua duka sperm nitapata pesa...!
 
Utakuwa mbaya wewe...!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…