Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Kuna kanisa lina kwaya hata tatu, wazee, vijana, kuabudu na bado mic kama sita, mixer lzm ziwe za kutoshaMimi nashangaa kwa nini suala la kumiomba Mungu linakuwa completed hivi ? Unawezaje kuweka mitambo hayo kanisani ,hivi kusemaje ukiweka midundo ya kutosha ndio inasababisha Mungu ajibu Maomba kwa haraka hivi?
Sio swala la midundo, ni suala la kubalance sauti wakati wa ibada, na kumake sure waumini wanasikilizaMimi nashangaa kwa nini suala la kumiomba Mungu linakuwa completed hivi ? Unawezaje kuweka mitambo hayo kanisani ,hivi kusemaje ukiweka midundo ya kutosha ndio inasababisha Mungu ajibu Maomba kwa haraka hivi?
Umefanikiwa, kanisa liko wapi?Sio swala la midundo, ni suala la kubalance sauti wakati wa ibada, na kumake sure waumini wanasikiliza