Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari za asubuhi,
kanisa letu lilinunua mitambo hivi karibuni, na tunatafuta mtu wa kutusaidia kuseti sound mixing. tuna mics kama 20 hivi, mini mixers 4, boosters 2 na mixers 2, full range speakers 2 na monitor speaker.
Natafuta PA technician aliye na uzoefu katika mixing na aliye na sikio la tatu kwa ajili ya kubalance sauti zote.
Kwa details zaidi tuonane inbox. Please quote bei zako kwa ajili ya kuseti mitambo hii na kutufanyia training kama idara (nina church PA staff wanne hivi).