Habari wana JF mimi ni kijana nimelima vitunguu ekari moja kwa unwagiliajibwa pump maeneo ya Ruaha Iringa nataraji kuvuna mwezi wa 7 naomba msaada wa masoko yenye tija. Natanguliza shukrani
Kijana ebu fafanua bei yenye tija au masoko yenye tija.......maana masoko yenye tija kwa dar ..karikoo na sterio.....ila bei yenye tija utaipata hata hapo ruaha mbuyuni......Je unatarajia kupata kiasi gani hadi kufikia leo?