Natafuta soko la vanilla

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
 
Vanilla Ni Zao La Wanasiasa Maana Nalo Limejaa Ghiriba, Fitna, Ujanja Utaambiwa Kilo Million
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom