Natafuta soko la ukwaju, anayehitaji nitafute

Natafuta soko la ukwaju, anayehitaji nitafute

umbwa

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
25
Reaction score
1
Habari wana JF, mi ni mjasiriamali chipukizi............... Najishughulisha na kukusanya zao la Ukwaju. Mwenye uhitaji naomba anitizame inbox tuzungumze
 
Kwa sasa niko Tabora......... Nilikuwa nafikiri kuusogeza daressalaam au mwanza but inabidi nipate kwanza soko la uhakika
 
Back
Top Bottom