Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 831
kwa wenye uzoefu wa biashara ya madini hasa aina hii.....soko likoje kwa sasa???kuna contacts za uhakika? je market price ni kiasi gani?? je mambo gani ni ya kuzingatia ????vipi kuhusu quality,origin nk???Ni matumaini yangu nitapata maelezo ya kutosha hapa jamvini!!!natanguliza shukrani