Godfrey Jason Member Joined Apr 23, 2018 Posts 11 Reaction score 0 Oct 1, 2018 #1 Habari zenu Wakuu? Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika. Shukrani sana
Habari zenu Wakuu? Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika. Shukrani sana
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,126 Reaction score 62,125 Oct 1, 2018 #2 Tembelea masoko yaliyo karibu na wewe
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 196 Oct 1, 2018 #3 kiasi gani unacho na mpo mkoa gani mbichi au kavu
Godfrey Jason Member Joined Apr 23, 2018 Posts 11 Reaction score 0 Oct 2, 2018 Thread starter #4 khadija mandingo said: kiasi gani unacho na mpo mkoa gani mbichi au kavu Click to expand... Mbeya Boss. Na ni mbichi bado sijaitoa shambani. Ninategemea kutoa sio chini ya tani 20
khadija mandingo said: kiasi gani unacho na mpo mkoa gani mbichi au kavu Click to expand... Mbeya Boss. Na ni mbichi bado sijaitoa shambani. Ninategemea kutoa sio chini ya tani 20