Natafuta Soko la tangawizi

Natafuta Soko la tangawizi

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,604
Zipo tani 25 za Tangawizi makambako .
Natafuta Soko ambalo ntaziuza kwa pamoja.

Kwa wanunuzi au anayefahamu Soko zuri naomba anifahamishe
 
Ni aina gani?
Ya Mchanga gani?
Unauzaje kwa Kilo?

Nitafute: Tushauriane tunaweza kufika mahala fulani pazuri: +255-714-591548
 
Zipo tani 25 za Tangawizi makambako .
Natafuta Soko ambalo ntaziuza kwa pamoja.

Kwa wanunuzi au anayefahamu Soko zuri naomba anifahamishe
Mtafute Anna Malecela ana kiwanda cha tangawizi same, ingia tovuti ya bunge utapata namba yake ya simu then utauza zote bila taabu. Then uje inbox unipe taarifa.
 
Sawa Mkuu.asante sana ntakupa mrejesho
 
Mtafute Anna Malecela ana kiwanda cha tangawizi same, ingia tovuti ya bunge utapata namba yake ya simu then utauza zote bila taabu. Then uje inbox unipe taarifa.
mkuu akupe taarifa au kifuta jasho
 
Back
Top Bottom