Natafuta soko la strawberry

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari za kutwa nzima wadau wa jukwaa biashara
Nimefanya kilimo cha biashara strawberry Sasa wakuu natafuta soko kama kuna anaejua kuhusu soko la strawberry
 
Samahani niliomba kuuliza pindi unataka anza fanya kilimo
..je ulijiuliza kuhusu kilimo chako soko ntapata wapi au ndio ulilima kama wale wa matikiti

#lima kwa malengo zaidi utaishia kilaumu kilimo hakilipi
 
Mkuu itakukata watanzania hawatumiagi hivyo makitu
 
Habari za kutwa nzima wadau wa jukwaa biashara
Nimefanya kilimo cha biashara strawberry Sasa wakuu natafuta soko kama kuna anaejua kuhusu soko la strawberry
Soko lipo sana na haitoshelezi Mahitaji.

Iko hivi. Hakuna atakae ota kwamba una hayao matunda unauza so toka toa taarifa.

Hata kama ungekuwa unauza Dhahabu bila kutoka na akwenda kutafuta wanunuzi hakuna atakae ota kwamba una Dhahabu unauza.

Kujitangaza hasa Pysical ni muhimu sana.
 
Una uhakika au uko hapa kuwakatisha tamaa wenzako?
Mkuu nauhakika inahitajika kwa kiwango kidogo mahotel makubwa ,Ila Kama unamtaji mkubwa nenda kiwandani hivi vya juisi na biscuits kalime kwa mkataba nao ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…