Natafuta soko la samaki

Natafuta soko la samaki

makendi10

Member
Joined
May 13, 2023
Posts
5
Reaction score
2
Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato
Bei ya jumla ni 8000
Bei ya rejareja ni 11000

Jumla kuanzia kilo 6

Napatikana Bunju


1686313466328.jpg


0658236797
 
Daaah matangazo haya mtihani. Jumla unaanzia kilo ngapi?
 
Back
Top Bottom