Natafuta soko la nyanya kwa tenga.

Natafuta soko la nyanya kwa tenga.

Joined
Jan 2, 2019
Posts
9
Reaction score
4
Habari ya asubuhi wapendwa khari ya mwaka mpya ndugu natarajia kuvuna nyanya zangu shamban ili kuondoa ukata wa January natafuta bei nzuri ya nyanya kuanzia tenga 50 Na kuendelea katika kipindi cha mwezi huu ningependa kujua bei nzuri ikoje Na eneo gani naweza peleka mzingo wangu inapatikana hapa dar ila mzigo unatoka mkoa nakuletea ulipo kikubwa maelewano Na uaminifu kwa masiliano 0766090956

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama unafahamu vizuri biashara ya nyanya, inataka tu ujasiri leo utauza tenga elf 50 kesho unaambiwa zinaenda 30 wiki ijayo elf 3....mtakubaliana na mtu hapa labda tenga elf 30 kwa sabab kaona Dar tenga labda halipungui 45 hadi unachuma nyanya umpelekee soko la Dar tenga imekuwa elf 30 hapo ni makibaliano mapya au ubaki na nyanya zako zikuozee kifupi hii biashara iko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom