Natafuta soko la Mihogo

Natafuta soko la Mihogo

Joined
Nov 14, 2013
Posts
67
Reaction score
42
Waheshimiwa nina shamba la Muhogo, lipo eneo la Dundani, kilometa chache kufika Mkuranga. Kwa mwenye fununu juu ya soko. Au kwa anayehitaji plzzzz contact me

Wenu Mwali wa Giningi
 
Kuna kiwanda kiko maeneo ya Kibaha, wanatengeneza madawa ya kupulizia mbu kama sikosei. Mwaka juzi wakati Mh Raisi anafungua alisema wanatumia mihogo kutengeneza hizo dawa. Hebu kama unamda fuatilia uke utujuze.

Pia ulizia kwa Mohamed Enterprise na Bakhressa
 
Nenda pale bugurun kaulizie steki imefika sh ngapi, steki ni kiwango cha upangaji wa mihogo kwenye gari aina ya canter za tani 2 mpk 4, ukishajua bei tafuta mteja muulze atanunua sh ngapi mkikubaliana nenda kachume umletee
 
Waheshimiwa nina shamba la Muhogo, lipo eneo la Dundani, kilometa chache kufika Mkuranga. Kwa mwenye fununu juu ya soko. Au kwa anayehitaji plzzzz contact me

Wenu Mwali wa Giningi
mkuu kuna kiwanda kilikuwa kinajengwa bungu rufiji cha kusindika mihogo hao ndiyo kidogo wanaonekana watakuwa wahokozi wa wakulima wa mihogo...sasa sijui kama wameanza au jaribu kuulizia mkuu
 
Back
Top Bottom