Francis14
Member
- Jul 6, 2020
- 7
- 2
Nataka nidhubutu kuwa nauza mchele kwa kusafirisha kutoka mikoa ya magharibi kwenda mikoa ya mashariki
Tupeane Chanel wadau japo mtaji no mdogo la nataka nianze na huo huo, nasikia inalipa endapo utapata shule uwe unazihudumia, Taasisi ama Kampuni
Tupeane channel wadau