Habari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
Unahisi tangazo lako limekamilika!,au mbezi yoote upo peke yake muuza Maziwa.Hebu andika tenaHabari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
Unahisi tangazo lako limekamilika!,au mbezi yoote upo peke yake muuza Maziwa.Hebu andika tena