the happy one Member Joined Jun 19, 2013 Posts 26 Reaction score 4 Mar 19, 2016 #1 Mimi niko kahama shinyanga, ni mfugaji wa kwale, natafuta soko la mayai ya kwale
Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 15,857 Reaction score 123,322 Mar 19, 2016 #2 Dar
zegamba180 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 820 Reaction score 544 Mar 19, 2016 #3 Hao ndege sasa sio deal tena. Tray@ 10000/9000, bora kuku wa asili
Mungu Mweusi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 1,474 Reaction score 1,088 Mar 20, 2016 #4 Ulikuwa ni upepo maana +255 tunaishi kwa upepo. Kula Tu na watoto ndugu Yangu unenepe
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Mar 20, 2016 #5 mkuu hilo soko umelichelewa sana limeshakufa tayari unaweza tumia na familia
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,210 Reaction score 8,048 Mar 21, 2016 #6 hapo mkuu ulichelewa kware na mayai yake sio habari ya mjini tena..kama ilivyokuwa mafuta ya ubuyu badala ya tiba tukaambiwa yanaleta cancer
hapo mkuu ulichelewa kware na mayai yake sio habari ya mjini tena..kama ilivyokuwa mafuta ya ubuyu badala ya tiba tukaambiwa yanaleta cancer
M mzalendob Member Joined Aug 3, 2010 Posts 91 Reaction score 33 Mar 21, 2016 #7 Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki.
Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,515 Reaction score 42,646 Mar 22, 2016 #8 Mungu Mweusi said: Ulikuwa ni upepo maana +255 tunaishi kwa upepo. Kula Tu na watoto ndugu Yangu unenepe Click to expand... Dah nimecheka sana.... Hivi tatizo ni nini?
Mungu Mweusi said: Ulikuwa ni upepo maana +255 tunaishi kwa upepo. Kula Tu na watoto ndugu Yangu unenepe Click to expand... Dah nimecheka sana.... Hivi tatizo ni nini?
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 901 Mar 22, 2016 #9 [emoji87] kumbe bado watu wanauza hii product, kula na wanao tuu mkuu
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Mar 22, 2016 #10 mzalendob said: Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki. Click to expand... Hahahaaaa... Hatari saana...
mzalendob said: Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki. Click to expand... Hahahaaaa... Hatari saana...
Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,702 Mar 22, 2016 #11 Hahaha mdau ndio anazinduka saa hvi hela zimeshaisha. Pole sanaa. Kuna mshkaj alianza wafanya mboga mmoja mmoja wakaisha wote.
Hahaha mdau ndio anazinduka saa hvi hela zimeshaisha. Pole sanaa. Kuna mshkaj alianza wafanya mboga mmoja mmoja wakaisha wote.