the happy one
Member
- Jun 19, 2013
- 26
- 4
Mimi niko kahama shinyanga, ni mfugaji wa kwale, natafuta soko la mayai ya kwale
Dah nimecheka sana.... Hivi tatizo ni nini?Ulikuwa ni upepo maana +255 tunaishi kwa upepo. Kula Tu na watoto ndugu Yangu unenepe
Hahahaaaa... Hatari saana...Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki.