Natafuta soko la mayai ya kienyeji jamani

Mwesigwa1

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji. Mwenye connection anipe tafadhali
 
Nataka tray mbili ya yai la kienyeji original mi niko Dar

We uko wapi?
 
Mayai ya kienyeji pia yanapatikana kupitia namba hii 0689771087.Bei ni 15,000 kwa tray moja na ukinunua kuanziaTray 3 kuendelea bei ni 12,000 tu tuunaweza kupanga ukaletewa ulipo Dar es Salaam. Karibuni
 
Mayai yanatoka mkoa gani? Una uwezo wa kutoa tray ngapi kwa wiki? Usikute yamekaa sana na yakaanza kuharibika mimi nina wateja wa majumbani.
 
Mayai ya kienyeji pia yanapatikana kupitia namba hii 0689771087.Bei ni 15,000 kwa tray moja na ukinunua kuanziaTray 3 kuendelea bei ni 12,000 tu tuunaweza kupanga ukaletewa ulipo Dar es Salaam. Karibuni
Mimi Nahitaji ila naomba unitumie pc ya hayo mayai ili kujua kama kweli ni ya kienyeji. Na jee yana mbegu? 0658103810. Nahitaji tray 10
 
Back
Top Bottom