kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Magufuli ameruhusu tani moja tu kusafirisha mahindi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.....sasa hayo ya kwako hata ukipata mteja utasafirisha vipi...?
Changamoto kwa mkulima
Wakuu habari za Leo,napenda kutoa maelezo machache kuwa Nina vuna MAHINDI yangu Morogoro ekari tano..natafuta soko kwa anaefahamu debe la mahindi kwa sasa nikiasi gani?
Nakuomba tuwasiliane kupitia 26masalu@gmail.com.
Tunanunua kwa debe 1@Tsh.2,800/= zaidi ya Tani moja.
ukiwa tayari tuwasiliane 0654567777 nahitaji tani 64. au kilo 64,000/Wakuu habari za Leo,napenda kutoa maelezo machache kuwa Nina vuna MAHINDI yangu Morogoro ekari tano..natafuta soko kwa anaefahamu debe la mahindi kwa sasa nikiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Geita debe 19,000/=