Natafuta Soko la Madini ya aina hizi

Natafuta Soko la Madini ya aina hizi

Nahaya mawe vp soko lake kama Kuna mtu ananunua haya mawe tuchonge pm

Mkuu mimi Ktk utaalam wangu kidogo wa madini inapokuja Tanzanite na almasi sizifahamu kiundani ila khsu market syo issue 0715591141 yangu nipigie tuchonge zaidi
 
Mkuu mimi Ktk utaalam wangu kidogo wa madini inapokuja Tanzanite na almasi sizifahamu kiundani ila khsu market syo issue 0715591141 yangu nipigie tuchonge zaidi
nita kupigia nipo safari
 
Nina jiwe black tourmaline vp soko lake kama Kuna mtu ananunua haya mawe tuchonge
 
Attachments

  • IMG_20150612_072412.jpg
    IMG_20150612_072412.jpg
    97.9 KB · Views: 103
Naombeni kujua soko linapatikana wapi ninataka kujua ili niuze
Suphire yako ni ya wapi? Na unayosema white Suphire kuna Suphire za aina nyingi
Kuna Suphire nut na kuna Suphire kama za umbea au songea kitai
 
Nina mawe aina ya rutile quartz.

Vipi soko lake mawe ambayo yana vitu kama mizizi mizizi kwa ndani?
 
Back
Top Bottom