gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
Kwa mtazamo wa kawaida; Ni jeupe, linaangaza sana, ukichukua tochi ukimulika mwanga unarudi, hili ni jiwe moja ambalo kwa juu kuna vijiwe vingi sana ambavyo vina maumbo mengi, kwa mfano nyumba za Tembo..
Je, haya ni aina gani ya madini? Nijuzeni tafadhali..
=======
Je, haya ni aina gani ya madini? Nijuzeni tafadhali..
=======
Nina mawe aina ya rutile quartz.
Vipi soko lake mawe ambayo yana vitu kama mizizi mizizi kwa ndani?
Naombeni kujua soko linapatikana wapi ninataka kujua ili niuze.