MR MKWAVINYIKA
Member
- Jul 12, 2013
- 43
- 14
Mi nayahitaji..... bei gani... ukubwa gani na usafirishaji uko vipi... yafike songea-peramiho hospitalWadau mm nipo mkoa wa Iringa natafuta soko au watu binafsi wenye uhitaji wa mabanzi au makapi ya mbao mkowa wowote tuwasiliane ili tufanye biashara namba yangu ni 0767879732.
Hii ni picture ya mabanzi.View attachment 271325View attachment 271326