Natafuta soko la kuku wa kisasa wa mayai Dodoma

Yohana469

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
302
448
wadau habarini?

Msaada kwa mtu anaeishi Dodoma, natafuta mtu anaeuza kuku wa kisasa anaetaga mwezi kwa mwezi.

Nahitaji kupata hio bidhaa mara moja.

Kama yupo humu anitafute dm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom