Natafuta soko la kabichi (cabbage)

Natafuta soko la kabichi (cabbage)

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
Wadau nimeonana na wakulima kadhaa hapa Singida na wanacabbage ya kutosha sana tatizo soko hawana nikaona ni bora niwatafutie soko kupitia hapa jamvini. Tafadhali yeyote anayefahamu juu ya soko la hii kitu tuwasiliane kupitia email mtamanyali@gmail.com, NB. hata ushauri wako pia unahitajika sna ili niweze kuwakomboa wakulima hawa.
 
Back
Top Bottom