Natafuta soko la hiriki na pilipili manga

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
682
Reaction score
863
Wakuu habari zenu wakuu? Poleni na mihangaiko
Naomba kujuzwa soko zuri la hiriki na pilipili manga hasa ndani ya nchi maeneo kama unguja, mombasa,dar as salaam.
Naomba kujuzwa bei ya sokoni hasa kwa ujumla
Nina mzigo wa kutosha kutoka tanga kologwe shambani natoa saizi hiriki

Natumai kuna wanaofanya hii biashara naomba ushirikiano wenu wakuu
 
Mkuu mavuno yameshaanza kutoka? Maana kuna wakati ilikuwa adimu sana hasa mwaka jana
 
Ndio mkuu ninayo nimeitoa tanga huko wanavuna saizi iko vizuri sana ndio nauliza soko linakwendaje kwa sasa
Mzigo huuu hapa
20181027_213012.jpeg
 
Back
Top Bottom