Natafuta soko la Dengu!

Natafuta soko la Dengu!

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
805
Mzigo upo Singida tani 120!!
Bei ni 2m kwa tani maongezi yapo.
IMG-20171017-WA0003.jpg
IMG-20171017-WA0005.jpg
IMG-20171017-WA0002.jpg

Mzigo Ni mpya WA mwaka huu.
 
Mkuu nimekuPM muda mrefu Sana naona kimya,naomba nipigie au nipe no yako nikucheki fasta,nina mteja Mombasa Kenya anautaka huo mzigo wote na yupo tayari kufika hapo Singida haraka sana,but mzigo uwe ni stock ya mwaka huu.Nipigie nimekuwekea no au nipe no yako nikupigie mm tafadhali.
 
Check your PM please!
 
Mzigo wa dengu upo wa kutosha wadau so ingawa biashara inaenda but upatikanaji wa mzigo wa kutosha upo.
Just tell me how much tons unahitaji then nakukusanyia ukifika unalipa unapakia na kutimka zako!
Mali ipo Singida.
 
Back
Top Bottom