Natafuta soko la batik aina zote.

Buhaya boy

Member
Jun 16, 2013
88
16
Mimi natengeneza batik nzuri za kuvutia kama vikoi vitambaa vya batik kwa ajili ya kushona vyenye maua na picha mbali mbali.Napokea oda kwa matukio yenye kuhitaji sare za batik kama batik zenye maneno HAPPY BIRTHDAY,CHADEMA,CCM n.k.kwa kutumia batik za mshumaa(batik halis) pia kwa anaehitaji kufundishwa jinsi ya kutengeneza kwa Dsm unafuatwa kwako na vitambaa vyote tunavyotumia kukufundishia itabaki mali yako mwenyewe.Mawasiliano 0717539573 au email: stanslausd@yahoo.com..na Mungu awabariki sana.
 
Back
Top Bottom