Natafuta Soko la bata

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
1,914
Reaction score
3,371
Wakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
 
Bata peleka Gulioni magulio ya miji/vijijini utauza
 
Ukipata informations, nichek na mm ninao wa kutosha, moscovy 🦆
 
Mara nyingi wafugaji wa bata ,wanafuga kwa matumizi ya nyumbani,soko la Bata bado pasua kichwa.
 
Mbona Bei ndogo sana

Ninavyojua bata moja huanzia laki moja
Bata wapo wa aina nyingi, hao unaowazungumzia wewe ni Bata Bukini ndio wanaouzwa 100,000-150,000 kwa bata mmoja na yai lake ni 50,000. Ila hawa wakawaida bei ni 20,000 - 30,000 kwa mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…