Natafuta Soko la asali

Kalunde.

Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
24
Reaction score
13
Habari wana jamii,nisaidieni wapi naweza pata soko la kuuza asali?
 
vp ukienda kwa wale wenye vikundi wanao uza asali watakupa connection ya soko, au nendenI kwa mizengo pinda yeye si anawafuga huko kwao na ana vuna asali na ku xport nje asali
 
Kama asali ni mbichi na haijachakachuliwa huwezi kukosa Soko.Niliwaona wenzako katika maonyesho ya Sabasaba ambao walikuwa na asali nzuri.Weka contact zako ILI watu wawasiliane na wewe.
 
Kama asali ni mbichi na haijachakachuliwa huwezi kukosa Soko.Niliwaona wenzako katika maonyesho ya Sabasaba ambao walikuwa na asali nzuri.Weka contact zako ILI watu wawasiliane na wewe.

Shukrani namba za mawasiliano ni 0684574974.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…