Mkuu soko la asalai kwa apa nchini kwetu kidogo linasuasua sana, kwa apa dar lita moja inauzwa sh 10,000. ninachokushauri hivi kwanini usipanue mawazo ya kuuza nje ya nchi? kama huna mtaji mkubwa leta hoja hiyo jamvini JF. Uenda ukapata watu wa kuungana nao. fikiria hivyo mkuu. tafuta masoko ya nje kwenye net, chukua contact zao, then njoo kwenye JF ulizia watu taratibu za kuexport mzigo nje na sharia zake. ndo hayo tu mkuu na ubarikiwe