Kwa hii hata Ulaya inauzika
Changamka fursa ndio hizi unasubiri niniIko store sijaifanyia packaging bado.mpaka nipate soko
Kwa nini unatafuta nje ya nchi? Sema unatafuta soko popote lilipo tu hata ndani ya nchiAsali ya nyuki WA kubwa ya tabora.iko packed kwenye dumu za 20 litres
Una barcode? Je umesajili brela?Asali ya nyuki WA kubwa ya tabora.iko packed kwenye dumu za 20 litres
Asali yako usifanyie chochote.....kama ni raw uarabuni ndy inatakiwa......hyoIko store sijaifanyia packaging bado.mpaka nipate soko
Nope sihasajili brela wala sins barcodeUna barcode? Je umesajili brela?
Nina lita 2000 HIV mkuuAsali yako usifanyie chochote.....kama ni raw uarabuni ndy inatakiwa......hyo
Je Una Asali kiasi gani?
Ova
unauza malighafiAsali ya nyuki WA kubwa ya tabora.iko packed kwenye dumu za 20 litres
Ndani Kuna wauzaji wengi Hamna faidaKwa nini unatafuta nje ya nchi? Sema unatafuta soko popote lilipo tu hata ndani ya nchi
Nipo Dom..dumu la 20 ltr 200,000 to 195,000Dumu moja la asali la lita 20, Unaliuzaje?
We uko mkoa gani?
2000 litres mkuu.ni pure honeyuna kiasi gani.nje sio ndoo kumi zinatakiwa zijae container au zaidi na pure honey ni nzuri.sema ni ipi unayo biashara ya asali haina shida kama ipo pure
Pureunauza malighafi
Poa mkuuMadumu 100. utapata tu mteja mkuu, wakenya wanahitaji sana asali mbichi pia
Nitakutafuta tuongee biashara zaidi