Ndio Lita 8000 ya nyuki wakubwaSo Lita moja 8000/=
Utachagua tukuletee mzigo mpaka dar,, au wewe uijie tabora lakini ukifata mzigo bei inapungua kuwa 140000 kwa dumu sababu usafiri ni 15000 kwa dumu na vibali vya kusafirisha tunakupa tunavyoMi nipo dar naipataje? Hasa kwa bei ya jumla