Natafuta software za kuendesha project zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta software za kuendesha project zangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SYENDEKE, Jul 29, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wandugu nina project zangu sasa natafuta software ambazo naweza kutumia kuendesha hizo project mfano cost analysis, cost alocation na zitakazo weza kuendesha kila kitu nikawa nakiona nakijua vizuri tofauti na sasa ambako vitu vingi tunashindwa kuendesha vizuri kwa ufasaha
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unafanya project ganiza Ujenzi?usafirishaji?,fafanua ili uweze saidiwa
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nafanya project za ujenzi ndugu coz hii manually tunashindwa sometime kumanage vizuri real cost allocation and valuation
   
Loading...