Natafuta software development team au teammates

Natafuta software development team au teammates

IMG_0938.png



Nicheck True Service Mobile Devices Repair & Accessories
 
Habari wakuu,

Mimi ni muhitimu wa shahada ya mawasiliano, vile vile nafanya web application na mobile application development.
  • Nina uzoefu wa kutosha na Object Oriented Programming
  • Ninadesign na kudevelop backend sytems kwa PHP na Laravel Framework
  • Database management and designing
  • Git and GitHub version control systems, collaboration workflows, etc.
  • Basic Frontend skills, km HTML, CSS, JavaScript & JQuery na Bootstrap. (Najifunza React)
-Mobile Apps (specifically iOS apps.)

So, natafuta team ya kujoin au individuals, vijana wenzangu ambao wapo determined na wana passion na hii career, tupige kazi.

Kama una frontend development skills (frameworks e.g. React, Angular au Svelte, etc) itakuwa vizuri zaidi, ila vinginevyo pia ni sawa. Learning Materials yapo, vitabu, udemy courses, nk.

Lengo ni kujiajiri kama vijana, na kutatua changamoto zinazozunguka mazingira yetu ya kila siku.

Asanteni, nawakilisha.
Hongera
 
Back
Top Bottom