Natafuta smartphone

Natafuta smartphone ya shilingi elfu hamsini please mwenye anayo ani PM
hutopata smart phone kwa bei hiyo, utanunua matatizo tu ndugu, changa taratibu, ikifika kwenye laki na 30 utapata simu ya kukufaa kwa pesa yako, na ni mpya toka dukani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom