Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...
twende kazi......
mkuu ni pm Nina tecno m3 ina android dual camera ram 512. 135,000 nakupa na kila ki2 ni pm 2ongee biznez
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...
twende kazi......
Nina Samsung galaxy tab 2,inakufaa nikupe bei?
S2 km unataka chap au iphone 3gs
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...
twende kazi......
Nicheki nimekupm,galaxy note 2 kwa laki 7 na nusu
nipigie namba 0714064767 Kuna simu kali na Ina risiti kutoka mlimani cityusiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...
twende kazi......