American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 699
- 1,041
Natafuta simu aina ya Samsung Galaxy s3 nina Laki Moja na Nusu isiwe clone au imechoka sana iwe katika hali nzuri, kama upo tayari niPM au niwhatsapp kwa 0764361843

S3 ambayo sio copy, unataka upewe kwa Laki na nusu ? Baba Jf hakuna mateja humu
We nawe kama huna si unyamaze kwani kama huna hiyo au hutaki ofa si utulie umepata faida gani sasa kwa kusema hivyo?
sijakuelwa unataka samsung Galax S3 kwa Tsh.150000/ Siiiiii ununue gazeti ujipepeeeeeeeeeeeeeeeeeee tu