ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,113 Nov 25, 2018 #1 Wakuu nahitaji display original ya Huawei p8 lite kama kuna mtu mwenye simu iliyokufa lakini display iko poa anicheki tufanye business.
Wakuu nahitaji display original ya Huawei p8 lite kama kuna mtu mwenye simu iliyokufa lakini display iko poa anicheki tufanye business.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,786 Reaction score 15,002 Nov 25, 2018 #2 Umeharibu simu ya watu....utakoma
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,113 Nov 25, 2018 Thread starter #3 Prince Mhando said: Umeharibu simu ya watu....utakoma Click to expand... Hahaha
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,786 Reaction score 15,002 Nov 25, 2018 #4 Cousin said: Hahaha Click to expand... Jaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginal
Cousin said: Hahaha Click to expand... Jaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginal
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,113 Nov 25, 2018 Thread starter #5 Prince Mhando said: Jaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginal Click to expand... Ndio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezingua
Prince Mhando said: Jaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginal Click to expand... Ndio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezingua
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,786 Reaction score 15,002 Nov 25, 2018 #6 Cousin said: Ndio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezingua Click to expand... Utapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezea
Cousin said: Ndio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezingua Click to expand... Utapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezea
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,113 Nov 25, 2018 Thread starter #7 Prince Mhando said: Utapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezea Click to expand... Aiseee
Prince Mhando said: Utapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezea Click to expand... Aiseee
USTADH ARABI SAIDI Senior Member Joined May 2, 2014 Posts 147 Reaction score 88 Nov 26, 2018 #8 Cousin said: Aiseee Click to expand... Daaah kiukweli hizi simu zingine kwanini Vifaa vyake vinakuwa ni Shida kupatikana. Maana na mimi natafuta Circuit ya Huawei (U8220) sijafanikiwa kukipata kariakoo
Cousin said: Aiseee Click to expand... Daaah kiukweli hizi simu zingine kwanini Vifaa vyake vinakuwa ni Shida kupatikana. Maana na mimi natafuta Circuit ya Huawei (U8220) sijafanikiwa kukipata kariakoo