Natafuta simu - HTC Dream (T-mobile) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta simu - HTC Dream (T-mobile)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Esther Kimario, Nov 25, 2011.

 1. E

  Esther Kimario Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bajeti yangu kwa simu hiii (ambayo huwa ninai-feel sana) ni 250,000. (Laki mbili na nusu) Natamani nisiishie kupata kimeo.
  Msaada wenu wapendwa.
   
 2. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna mtu anayo ila ina lock ya network.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  mkuu dream mbona kama toleo like la siku nyingi kama sikosei.. HTC wana sensation series ... ni noman ! kuna hii inaitwa incredible S .. hutojilaumu ukiipata ..

   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwa pesa hiyo utaishia kupata kimeo,HTC from Taiwan ni kuanzia laki 4 na kuendelea(aina yeyote ya HTC Ina anzaia bei hiyo)
  ila kama unataka HTC kutoka Shanghai hapo ndio vimeo vinapo anzia
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yeah
  ila bei yake hataiweza hiyo ipo juu sana labda apate kutoka CHINA na sio TAIWAN
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  incredible S nimenunua kama miezi 4 iliyopita kwa pesa za kibongo around laki nane...! but inaweza ikawa imeshuka kidogo.. hawajakosea kuiita incredible kwani ni incredible kwelikweli.. tatizo la HTC ni battery lakii kwenye incredible S nilikuta App ya Norton mobile utilities ukii launch alafu ukienda katika power saving utaka nayo siku 2 bila ku charge
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi ninayo, tena ina tochi kabisa.
  Leta hela hiyo.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Yeah ni kweli,hiyo siyo simu ni bomba sana tena ukiipata ile kutoka Taiwan,bado bei yake ipo juu sana tena wewe ulipata bahati aliyekuuzia hakutaka faida kubwa sana,

  kwa hapa nilipo zinauzwa 768000 pesa ya kibongo sasa sielewi bongo zitakuwa ni beigani
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaha,
  hiyo ni made in Mbagara
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Naona hii thread ni kama mmepewa uwanja wa kuja kumwaga mbwembwe zenu, point ni kwamba ana 250,000/= anataka simu, jibu sahihi ni kwamba hapati aina hiyo ya simu.
   
 11. E

  Esther Kimario Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni bajeti iliyopo. Unadhani ninaweza kupata hiyo sensation kwa bajeti yangu?
   
 12. E

  Esther Kimario Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ungekuwa serious
   
 13. E

  Esther Kimario Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante CTVkilaza; hii lock kwa maana ya kuwa huwezu kusurf? Nieleweshe pse.
   
 14. p

  pansophy JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Jaribu e-bay or Amazon, you might get lucky with ur budget
   
 15. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kwa hapo ulipo wapi?
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwanza Umeingilia tangazo la mtu, anzisha thread yako. Pili naona maelezo mareefu ya dada yangu aliniletea wakati mimi sina computer; huyo dada aliona zawadi ya kukuletea ni UPS wakati anajua hauna comp, au alilete vifaa vingine pamoja na hiyo na wewe ndy umeamua kuikwapua? Mwisho kabisa tafadhali weka picha ya dada pamoja na namba ya simu!
   
 17. Emasaku

  Emasaku Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  you are doing business within someone business!
   
 18. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hahahaaa! Mwache mwenzako na dada yake, kwani we unataka ups au dada yake?
   
 19. l

  laun Senior Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jffffffff ah mpaka raha,
  Unazawadiwa matairi ya gari na wewe hauna gari ......
  Me sio mnunuzi ila mtoa zawadi nahisi hayuko serious
   
 20. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi naweza kukupatia kwa bei hio ya laki mbili na nusu nyeusi ( ya keyboard) imetumika kutoka UK genuine sio ya mchina. utaipata wiki ijayo kuanzia tarehe 1.
  Kama bado unaihitaji nijulishe asap.
   
Loading...