Natafuta simu aina ya Xiaomi ya kununua

Natafuta simu aina ya Xiaomi ya kununua

PUNJE

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2008
Posts
356
Reaction score
180
Tafadhali mwenye kufahamu wapi nitapata aina ya simu niliyoitaja hapo juu kwa hapa Tanzania. Iwe mpya, ya toleo la karibuni. Asante.
 
Tafadhali mwenye kufahamu wapi nitapata aina ya simu niliyoitaja hapo juu kwa hapa Tanzania. Iwe mpya, ya toleo la karibuni. Asante.
Ninayo..ila ni used..nicheki PM
We inaonekana unajua simu..
Xiaomi is the best chinese phone.
 
Ninayo..ila ni used..nicheki PM
We inaonekana unajua simu..
Xiaomi is the best chinese phone.
mkuu unaweza kunisaidia sehemu naweza kupata display ya xiaomi redmi note 3?? maana hii simu inaniuma sana nikiiangalia na nimeinunua juzi tuu kwa mhandisi wa kichina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom