Natafuta simu aina ya Blackberry

Natafuta simu aina ya Blackberry

Mkuu BRACKBERRY bado hazijatoka nadhani wako katika designing and testing stage.Mpaka Blackberry zitakapoisha ndipo watatoa hizo BRACKBERRY unazotafuta. Pole sana mkuu.
 
Daah wananchi mtu akikosea kuandika herufi moja 2 maneno yanawatoooka aya bhana ngoja niseme blackberry
 
Ipo torch slide and touch nauza 250 tu!
Imetumika wiki moja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom