Brainworker
New Member
- Nov 2, 2018
- 2
- 0
Jamani natafuta simu ya blackberry curve mwenye nayo.
Uliipotezea wapi mkuu?JAMANI NATAFUTA SIMU YA BLACKBERRY CURVE MWENYE NAYO.
Jamani natafuta simu ya blackberry curve mwenye nayo.
Mlizipata?Zikipatikana mbili na me nataka huu mtambo...
Binafsi sijapata.Mlizipata?
Nitumie picha wasap niichekiIpo mkuu,, una sh ngap
Nitumie picha wasap niicheki
Ndo na Mimi nashangaa kwanini wengine wanaenda mbele na wengine wanarudi nyuma.Watu wanaenda mbele wengine wanarudi nyuma.
😂 😂 😂 😂Duh hii simu ilikuwa inanitesa unahiunga mara mbili vifurushi